Pages

Tuesday, December 20, 2011

MAFURIKO

Baadhi ya maeneo ya jiji la Dsm leo hali haikuwa nzuri baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha mafuriko baadhi ya sehem za jiji la Dsm

 hii ndio hali ilivyokuwa maeneo ya Dsm

2 comments:

  1. Jamani hizo mvua ni noma dah! nawapa pole sana by Mpui Buhinda Nyagi frm Monaco.

    ReplyDelete
  2. haijawahi kutokea miaka kadhaa toka nitoke bongo-casual -Moroco

    ReplyDelete