Pages

Sunday, December 4, 2011

UWANJA WA UHURU KUELEKEA 9 DEC

 Hivi ndiyo hali halisi ya Uwanja wa Uhuru ulivyo kwa sasa asilimia kubwa ya uwanja tayari umeisha.

 Mambo mazuri uwanja wa Uhuru

 umebadilika sana huwezi kujua kama hili ndio lile shamba la bibi

 Upande wa unaoonekane kwa mbele ni eneo ambalo nyuma yake kuna kiwanja cha indoor

Jukwaa kuu halikuwa na marekebisho makubwa

No comments:

Post a Comment