Pages

Sunday, December 18, 2011

USAFI NA UCHAFU


Haya yashakuwa mazoea kwa wafanyakazi wa usafi  wa Manispaa ya Temeke katika hili suala la kutoa uchafu kwenye mtalo na kutupia pembeni mwa mtaro halafu unaachwa hapo hapo hii picha ni baadhi tu ya maeneo ya Tmk lakini asilimia kubwa uchafu hauzolewi

No comments:

Post a Comment