Pages

Wednesday, November 30, 2011

WATOTO WA USWAZI

Ni Jabir Saleh mwenye kofia nyeusi akiwa na Dj KU ni waendeshaji wa kipindi cha Jump Off kinachorushwa hewani kuanzia Jumatatu-hadi Ijumaa saa 1-4 na sasa wamekuja na mtazamo mpya katika suala zima la burudani usikose hii

1 comment:

  1. Naona uwekaji picha hapa ni polepole mnooo.. Hebu tuwekee Uwanja wa uhuru ulivyo sasa jukwaa jipya.

    ReplyDelete