Pages

Wednesday, November 23, 2011

KITAANI

 Mitaa ya Temeke Kata 14, maeneo ya klabu ya Good Hope
 Mtaa Uzuri na Mwaka hali ilivyo kwa sasa
 Uwanja wa Mabati uliopo kati ya Mtaa Uzuri,Pazi na Mwaka
Huu Ukumbi wa Luxury Pub mpaka sasa bado  haujafunguliwa ambao ulileta matatizo na baadhi ya watoto kufa katika ukumbi huo

 Urafiki Bar, ndio Bar ilikuwa maarufu maeneo ya Temeke imebaki kama Gofu
Urafiki Bar Ilivyo kwa sasa

3 comments:

  1. Safi sana hebu leteni picha zaidi za Mitaa hasa Tandika , Magorofani , Wailesi Temeke mwisho, Kota nk. Sisi wa huku Ughaibuni mnatukumbusha mengi sana! Big UP..

    Mzozaji.

    ReplyDelete
  2. Pia walete mambo ya Mtoni , Mtongani Mbagala, Kurasini , Keko.. TMK oyee!!!!

    ReplyDelete
  3. Msipasahau Temeke Mikoroshi, Gusta Jamani misss a lot mitaa hiyo

    Michakato

    ReplyDelete