Pages

Monday, November 5, 2012

Ligi daraja la kwanza: Tesema 0 - Ndanda 0

 Timu pekee inayoiwakilisha Temeke katika mashindano ya Ligi daraja la kwanza ngazi ya Taifa Tesema imeweza kugawana pointi na timu ya Ndanda Springs ya Mtwara. Mpaka sasa Tesema imecheza michezo 3 imeshinda mechi 1 na droo 2 wakazi wa Temeke mnaombwa kujitokeza kuipa nguvu timu yenu hiyo ya Temeke.
 Wapenzi wa soka waliojitokeza katika mchezo huo
 Mchezaji akipata huduma ya kwanza baada ya kuumia
 Abeid Bonge mwenye flana nyeupe akiwa na Nadir Haroub Cannavaro wakifatilia mechi hiyo
 Mwenyekiti wa Tefa Peter Muhinzi mwenye shati la mistari akiwa na wajumbe wake katika mchezo huo
 Baadhi ya viongozi wa Tesema Kushoto: Ngawina Ngawina na Jemedari Saidi

Kenny Mwaisabula Mzazi na Ngawina wakibadilishana mawazo baada ya mechi kwisha
Moja wa makipa hatari kwa Temeke Sele mwenye pensi akiwa na rafiki yake wakibadilishana mawazo

No comments:

Post a Comment