Pages

Monday, November 12, 2012

KERO YA KARIAKOO MCHANA

 Nipo Kariako mda huu jua ni kali msongamano wa magari, na hayatembei hatari tupu barabara zote zimefunga
 Hali kama hivi
 Na kila mtu ana haraka njia hazipitiki
 Maeneo ya kituo cha polisi cha kamata kuefunga

 Foleni inaendelea
 Hapa ndio niliposimamia wadau unabidi ujipange kwa sasa hivi ukiwa unakuja mitaa ya kariakoo mchana.

2 comments: