Pages

Thursday, November 8, 2012

Mazishi ya Twaha Kivumbi-Temeke

 Twaha Jokolo akinena jambo wakati wa msiba huo wa rafiki yake Twaha Kivumbi aliokuwepo maeneo ya changombe Temeke
 Kicheko, Jax na Nyerere wakiwa katika msiba huo
 Simon Butte (Mjo) likuwepo kumsindikiza rafiki yake


 Banyai (Dubwi ) aliesimama
 Salvatory Edward mwenyeshati la drafti akiwa na David Beatus, Peter Nkwera na shaffih Magongo
 Maiti ikisaliwa
 Baadhi ya ndugu, jamaa na rafiki waliohudhuria katika mazishi ya ndugu yao Twaha Kivumbi

Kenny Mwaisabula akiwa na baadhi ya viongozi wa Bandari katika msiba huo

No comments:

Post a Comment