Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki waliohudhuria katika mazishi ya mlopelo
Wasanii wenzake waliokuwepo katika msiba huo
Ndugu wa Marehemu Jarudi mwenye kanzu nyeupe na kaka yake
Kulia Jackcha, Mandemla na Diwani mstaafu Foto wakiwa katika msiba huo
Sajuki, Hisani na Nora
Ndugu wa marehemu wakiwa nyumbani baada ya kuzika
Bi. Mwenda alikuwepo katika msiba
Mmoja wa msanii ambaye alifanya kazi na marehemu akihojiwa na chombo kimoja cha habari
Jabir Saleh Mtangazaji wa Times Fm ambaye mmoja wa marafiki wa marehemu akiwa na Haji Kibomboz
Kushoto: Timbwa, Jax na Gogo wakiwa katika makaburi ya chang`ombe kumzika rafiki yao