Pages

Sunday, November 18, 2012

MANISPAA YA TEMEKE NA ZIMA MOTO YA WANAOPAKI PEMBENI MWA BARABARA

 TemekePamoja tunaomba uwajuze watu wa Manispaa ya Temeke kuhusu hili suala lao la malori wanayopaki pembezoni mwa barabara juzi kati ilipita operesheni ya kuyaondoa magari hayo katika barabara hizo lakini naona kama watu wa manispaa wakiwa wanakosa pesa ya bia ndio wanakuwa wakali sana kwanini hili suala haliwi endelevu sababu viwanja vya michezo vinaharibika ndio imekuwa kama sehemu zao kupaki magari wakati wanayadi kubwa pale chan`gombe lakini hawaendi, barabara zinaharibika uwezo wa barabara tofauti na magari yanayoingia mtaani, hizi ni baadhi ya picha ambazo wakikosa hela ya masanga wanakuja mitaani
Baadhi ya gari zikitolewa na gari maalum za polisi maarufu break down maeneo ya Temeke