Pages

Monday, November 12, 2012

SOKO KUU LA TEMEKE LEO


 Nazi kama zinavyoonekana bei ya leo kuanzia 250.
 Usafi katika soko ukiendelea
 Ila wanatimua sana vumbi inatakiwa muwe mnafagia usiku

 Hapa ilibidi nisimame kidogo nipate kitu cha samaki wakavu ili mchana uwe mzuri
 Matikiti Maji 400 na kuendelea
 Matunda kibao pensheni kilo 500
 Nanasi bei poa kuanzia 300
huu upande wa matunda

No comments:

Post a Comment