Pages

Thursday, November 8, 2012

HOSPITAL YA TEMEKE NA WATU WALIOGANDANA

 Watu waliokuwepo hospital ya Temeke wakitaka kuwaona watu waliogandiana baada ya kusadikiwa walivunja amri ya sita.
 ilikuwa kila baada ya dakika moja watu wanaongezeka
 Hali ilivyokuwa katika barabara ya Temeke Hospital ikalazimika polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waliokuwepo hapo


 Watu wakiwa katika barabara wakitaka kujua kinachoendelea
 Ukuta umezingirwa
Barabara imefungwa mpaka naondoka eneo la tukio ukweli hasa haujajulikana sababu kila unayemuuliza anaeleza anvyojua yeye kuhusu hilo suala la kugandiana kwa watu hao wawili

No comments:

Post a Comment