Pages

Monday, November 26, 2012

MDAU RAJAB KIAZE APATA JIKO

 Mdau Rajabu Kiaze maarufu Ticha amefunga rasmi leo pingu za maisha na Bi. Fatma Seleman ndoa ilifanyika Zanzibar na Sherehe Dar es Salaam
 Rajabu Kiaze na Mkewe
 Mawifi kama kawa hawako nyuma kwa hili
 Baadhi ya rafiki waliohudhuria katika Harusi hiyo
hapa likipigwa dufu