Pages

Wednesday, November 28, 2012

MATAYARISHO YA STREET SOKA

 Mmoja wa mwendeshaji wa Temekepamoja KC akiwa safarini kuelekea Holland katika kufatilia program ambayo TemekePamoja inategemea kuianzisha hivi karibuni ya Street Soka ila hii itakuwa inahusika na watu wenye umate  mate kwenye soka kaa tayari
 npo na mmoja wa wadau  ambaye yeye alikuwa ananipa michakato inavyokwenda
Nje ya jengo la Ajax nikiingia kupata maelezo kidogo