Pages

Sunday, November 11, 2012

MATAYARISHO YA FILAMU YA TEARS ON MY BIRTHDAY-MBEYU MAXWELL

 Muhusika mkuu wa filamu anaitwa Bonita akiwa na Director ambaye ni mjerumani jina lake ni Andrea Lauterbach

Picha ya pili ni sehemu ya mchezo huo, ambapo muhusika mkuu Bonita au jina la filamu Aminata akiwa na mpenzi wake Benjamin Hoesch (jina la filamu Robert)


Moja ya filamu ambayo tayari imeshaisha ya Mbeyu Maxwell
Mbeyu Maxwell mwenye flana ya njano ambaye anasimamia mzigo wote wa filamu hizo.

No comments:

Post a Comment