Pages

Friday, September 16, 2011

Utengenezaji wa Chumvi-Singida

Uyayarishaji wa chumvi hii ni hatua ya kwanza unakusanywa mchanga na kuwekwa kwenye magaroni
Maandalizi ya kutengeneza chumvi yakiendelea hapa yakimwaga maji kwenye magaroni yaliyo na mchanga

Chumvi ipo jikoni ikichemka

Ziwa Kindai au Bahari kuu ya Singida kama wenyeji wanavyopenda kuiita hili ziwa ni maarufu kwa uvuvi na utengenezaji chumvi.

Ikichujwa kabla ya kurudiwa tena kupikwa
Chumvi ikiwa inajitokeza


Hii ni nyumba ambayo anaitumia Mjasiriamali huyo ambaye hakutaka picha yake ionekane

No comments:

Post a Comment