Pages

Friday, September 2, 2011

MAMA MONA NDANI YA FILAMU YA CHUMO

susan natasha na sharo milionea ilikuwa wakati wa shooting ya filam ya CHUMO maeneo ya kigamboni mbali sana na feri yaani saa 4 toka feri?nilianza safari sa 9 usiku toka nyumani kwangu na kufika hiyo sehemu sa 1 asubuhi.hoi nkaona ni bora kupata kikombe sio cha loliondo ila cha kahawa.mmmh I love africafe.

ilikuwa wakati wa shooting ya filam ya CHUMO hapo nangoja make up artist anifanyie vitu vyake nkapige mzigo.
najua picha hii hutaelewa upesi ukiiangalia,ila ni wakati wa uchukuaji wa picha za filam ya CHUMO wakti Yusuph mlela na sharo milionea wakiiwa baharini huku crew ikichukua picha.iyo taa unayoiona hapo ni sawa na nguvu za jua ukizingatia ilikuwa na cloudy day.hiyo taa peke yake bei yake unaweza msomeshea mwanao shule ya academia mpaka akaambiwa elimu ina mwisho.
picha zote na Susan Lewis

No comments:

Post a Comment