Pages

Monday, September 19, 2011

SAFARI YA CHAMAZI KUANGALIA MECHI YA MORO UTD vs POLISI DOM

Hapa tunakaribia kiwanda cha nguo cha KTM (Mbagala Mission)
Mbagala Mission (KTM) hapa kama unaelekea Mbagala ni upande wa kushoto nimependa mazingira yake na nitawaletea hali halisi ilivyo huko kwa sasa.
Ukisikia Mbagala kuna Foleni huanziaga hapa Mbagala Zakheim hadi Mbagala Rangitau stendi

Mbagala Rangitatu ilivyo kwa sasa vikwangua anga vishaanza kujitoshereza
Ujenzi wa kuitanua barabara unaendelea
Kona ya Mwisho ya kukaribia Uwanja wa Azam
Uwanja unavyoonekana
Mazingira mazuri nimeyapenda ila sijapendezewa na huu ubao wanaotumia wa matangazo si mahala pake uwanja mzuri kama huu kuwa na kipande hiki cha matangazo
Mfano mzuri wa Kuigwa kwa Azam F.c, tunazoziita timu kubwa jaribuni kufanya haraka mtengeneze viwanja vyenu, kuleta changamoto zaidi.
Hapa mchezo ukiendelea kati ya Moro Utd vs Polisi Dodoma
Hii sijaipenda hapa Katibu wa Moro Utd (Hamza) akimpa maelekezo mchezaji wake wakati mechi ikiendelea
Wachezaji wa Moro wakipata maelekezo kwa mwalimu wao Hassan Banyai
Mwalimu Kenny Mwaisabula mwenye miwani akifatilia pambano hilo

Gaudence Mwaikimba akifunga goli la pili katika mchezo huo hadi mwisho wa mchezo huu Moro Utd 2-Polisi Dodoma 5
Hali ya Uwanja unavyoonekana

1 comment: