Pages

Friday, September 16, 2011

BAHARI NDOGO SINGIDA



                  
Ziwa Singidani linavyoonekana kwa mbali wenyeji wamelibatiza jina wanaliita bahari ndogo ya Singida, hapo chini pia ni ziwa Singidani na hicho kinachoonekana kama kisiwa cheupe ni ndege wa jamii ya flamingo ambao ni kivutio kikubwa ziwani hapo


kando ya ziwa ni mapambo ya miamba yanayofanya mandhari ya ziwa kuvutia zaidi

No comments:

Post a Comment