Pages

Sunday, September 4, 2011

MAADHIMISHO YA KUAGA DARASA LA SABA-CHANG`OMBE

 Mkuu wa Shule ya Msingi Chang`ombe akiwatambulisha baadhi ya wajumbe wa shule waliohudhuria katika maadhimisho ya kuaga wanafunzi wa darasa la saba wanaotarajia kufanya mtihani wiki hii
 Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Chang`ombe Rukia Abdallah akipokea cheti cha kuhitimu darasa la saba
 Picha ya pamoja walimu na baadhi ya wanafunzi wa Chang`ombe

 Picha nzuri ya Ukumbusho

Mmoja wa Mwanafunzi akimlisha keki mwalimu wake

No comments:

Post a Comment