Pages

Saturday, September 3, 2011

TANZANIA YALAZIMISHWA SULUHU YA 1-1 na ALGERIA

fujo na foleni wakati wa kununua tiketi

 Lango kuu la kuingia Uwanjani



 kuna watu hapo wanapenda kubanana

Kutoka kulia ni Dany Mrwanda. Mbwana Samata na Amir Maftaha wakishangilia goli lililofungwa na mchezaji Mwenzao Mbwana Samata.
Mchezaji wa kimataifa wa Taifa Stars anayechezaea nchini Vietnam Dany Mrwanda akichuana na mchezaji Laifaoni Abderkadir wa Algeria katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa Dar es salaam Tanzania tayari mpira umeisha na Algeria wamefanikwa kurudisha goli hivyo Taifa Stars 1- Algeria 1, na mpira umekwisha hivyo bado taifa stars itakuwa nafasi ya tatu na Algeria
Timu hizo kabla ya mchezo wa leo zilikuwa na pointi sawa 4 kwa 4, ambapo kwa Sasa zote zimefikisha pointi 5 kila moja huku zikiwa zimebakiza mchezo mmoja kila moja, ambapo Taifa Stars itakipiga na Morocco Mjini Rabat huku Algeria ikibakiza kipute chake na Afrika ya Kati, mechi zote zikitarajiwa kuchezwa mwezi Oktoba mwaka huu.

No comments:

Post a Comment