Pages

Saturday, September 3, 2011

TEMEKEPAMOJA STREET SOCCER NA THT

 Hii ilikuwa  kubadilisha mazingira baada ya mapumziko ya mfungo wa Ramadhan, Temekepamoja Street Soccer Entertainment waliungana na kundi la THT
 Temekepamoja Street Soccer na THT mwenye T-shirt Nyeusi Adonaldo best Soccer Entertainer

 Islam na Msami hawa kila sehemu wanataka kubinuka tu (THT DANCERS)

 Temekepamoja Street Soccer Entertainment pamoja na wadau wengine

 Ni furaha tupu vijana
Msami kati akiwa na Boni Ukwama pamoja Farijala nyuma


No comments:

Post a Comment