Pages

Monday, September 12, 2011

BOMBA LA MAFUTA LALIPUKA KENYA

 Polisi wakuzuia moto nchini Kenya wakijaribu kuzima moto baada ya bomba la mafuta kupasuka eneo la Lunga Lunga Nairobi.
 Kazi ya kuzima moto inaendelea mpaka sasa.

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema takriban watu 120 wameuawa na moto baada ya bomba la mafuta kulipuka.
Wazima moto wanajaribu kuzima moto huo

No comments:

Post a Comment