Pages

Wednesday, September 14, 2011

BUSTANI YA MWEMBEYANGA

 Mazingira mazuri yalivyo kwa sasa eneo la Mwembeyanga

 Ila tatizo lililokuwepo ni moja vikalio vyote hamna sijui  vimeibiwa au manispaa hawajaweka

Sehem kubwa zinaonekana ni za wazi. Je? wakazi husika wa eneo hilo wanalitumia eneo hili kikamilifu

No comments:

Post a Comment