Pages

Sunday, September 25, 2011

MBUNGE WA TEMEKE AONGEA NA WANANCHI WAKE

Mb: Abas Mtemvu akijadiliana na baadhi ya viongozi wa kataya azimio





Hii ndio hali halisi ambayo iliyokuwepo Mitaa ya Azimio Tandika ambapo Mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu alivyokuwa akiongea na wanachi katika viwanja vya shule vya Azimio Tandika

3 comments:

  1. alikuwa na mkutana na watoto

    ReplyDelete
  2. Ndugu zangu wa hii blogu. Wazo lenu ni zuri sana la kutuletea habari za Temeke ila naona kama mnaleta sana habari zisizo za Temeke. Hii Blogu inaweza kuwa maarufu sana kama mkikazania habari za Temeke tuu. Watu wengi sana watakuja hapa kupata habari za Temeke.
    Ni ushauri tuu jinsi ninavyoona

    Asabte sana,

    Mzozaji.

    ReplyDelete
  3. Hiyo NiDlili tosha kuwa ccm wanawalazimisha wananch kuwatawla lkn mhhhh!!!!!!!!

    ReplyDelete