Pages

Saturday, August 17, 2013

Yanga Sc yaikung'uta Azam Fc goli 1 - 0 kwenye Ngao ya Jamii jioni hii.

Salum Telela mwenye viatu vya njano akishanagilia goli aliloifungia timu yake ya Yanga mnamo dakika ya 12 katika mchezo wa ngao ya jamii huku akifuatiwa na Jerson Tegete, Simon Msuva na Haruna Niyonzima(Picha kwa Hisani ya Temeke pamoja).Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli la kwanza walilofunga dhidi ya Azam fc kwenye mchezo wa ngao jamii jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Mashabiki wa Yanga wakiishangilia timu yao kwenye Mechi ya Ngao ya jamii dhidi ya Azam Fc. Yanga ilishinda goli 1-0, mchezo ulifanyika kwenye Uwanja wa Taifa,DSM.

Mashabiki wa Yanga wakiishangilia timu yao kwenye Mechi ya Ngao ya jamii dhidi ya Azam Fc. Yanga ilishinda goli 1-0, mchezo ulifanyika kwenye Uwanja wa Taifa,DSM.