Pages

Saturday, August 17, 2013

Shabiki wa Yanga apotea njia na kwenda jukwaa la Simba, hatimaye wamnyang'anya jezi ya ya kijani na kuichanachana hadharani.

Mashabiki wa Simba wakiichana Jezi ya shabiki wa Yanga aliyekosea njia. Shabiki huyo wa Yanga ni huyo mwenye fulana nyeupe mikono wazi......

Mashabiki wa Simba wakiigombania jezi ya Shabiki wa Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Shabiki wa Yanga alikosea njia na kupita kwenye Jukwaa la Simba.