Pages

Tuesday, August 13, 2013

Temeke Pamoja yaambulia kichapo cha goli 1-0 dhidi ya Nungwi Fc ya Keko katika Nusu Fainali ya Kombe la kugombania Ng'ombe katika Mashindano yanayoendelea kwenye Uwanja wa Temeke Squad.