Pages

Saturday, August 17, 2013

Ofisi ya CCM kata ya Miburani yateketea na moto kwenye baadhi ya Ofisi. Yasemekana chanzo ni hitilafu ya umeme.

Gari la kuzima moto likiwa limewasili eneo la ofisi hizo. Zimamoto walifanikiwa kuuzima moto huku tayari baadhi ya ofisi zikiwa zimeshaungua vya kutosha. Chanzo rasmi cha moto hakijajulikana ila mashuhuda wanasema ni hitilafu ya umeme.

Baadhi ya wakazi wa temeke kata ya miburani na vitongoji vyake wakishuhudia moto ukiteketeza ofisi za CCM kata ya Miburani.

Baadhi ya wakazi wa temeke kata ya miburani na vitongoji vyake wakishuhudia moto ukiteketeza ofisi za CCM kata ya Miburani. Na wengine wakiwa juu ya malori ili waweze kuangalia vizuri kinachotokea.


Baadhi ya vitu vilivyokolewa kutoka kwenye ofisi hizo za CCM Kata ya Miburani, Temeke jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya vitu vilivyokolewa kutoka kwenye ofisi hizo za CCM Kata ya Miburani, Temeke jijini Dar es Salaam.

Moshi ukiwa unafuka juu ya paa la Ofisi hizo za CCM kata ya Miburani.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo la kuungua moto za CCM kata Miburani Temeke. Hasara kamili bado haijajulikana.