Pages

Friday, January 6, 2012

WALIOFANYA VIZURI 2011 TMK

Steve Macho Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya ABC

M. Batungi kushoto na Juma kisoky hawa wote ni wachezaji wa Abc
Frank Mwemezi -JKT

Adam Jegame -JKT

Philibert Mwaipungu-ABC
Hawa bi baadhi ya wachezaji wa mpira kikakpu waliofanya vizuri katika mwaka 2011 na wengine wengi wanakuja
 Chege na Temba waliwakilisha vizuri katika Muziki ambao wanatokea kundi la Wanaume Family

 Dogo Aslay alishika 2011 na nyimbo yake nakusemea analiwakilisha kundi la Mkubwa na wanawe

 Adam Kingwande aliisaidia timu yake ya African Lyon mpaka kwa sasa ilipofika

 Alex Lwambano mtangazaji wa Clouds Fm akiwa kazini alifanya kazi nzuri ya kutupa habari za michezo zinazotokea ndani na nje ya nchi

No comments:

Post a Comment