Pages

Saturday, January 14, 2012

SHUKURANI NA TAARIFA YA AROBAINI

Maskani ya Good Hope ya Temeke Dar es Salaam inatoa shukrani za dhati kwa ndugu, rafiki na jamaa wote walioshiriki katika kipindi kigumu na majonzi makubwa baada ya kupata taarifa ya msiba ya ndugu ya Richard Mayabu kulichotokea tarehe 3/12/2011 na kuzikwa tarehe 4/12/2011

Familia inashukuru sana! na tumepata faraja kubwa sana toka mwanzo wa msiba mpaka maziko. Tunamuomba MwenyeziMungu awajaalie kila la kheri kwa yote Inshallah

Familia inapenda kuwafahamisha kwenye kisomo cha Arobaini Marehemu ya Marehemu Richard Mayabu itakayofanyika siku ya Jumapili tarehe 15/01/2012 nyumbani kwao Temeke Mikoroshi maeneo ya Sandari saa 5.00 asubuhi


Mdau
Sayana Mwalongo
Maskani ya Good Hope, Temeke

3 comments:

  1. Tunashukuru kwa taarifa, tupo pamoja

    Ally

    ReplyDelete
  2. tunashukuru kwa taarifa, tupo pamoja

    Ally

    ReplyDelete
  3. tunashukuru kwa taarifa, tupo pamoja

    Ally

    ReplyDelete