Pages

Monday, January 2, 2012

HAPPY NEW YEAR 2012

 Happy New Year to all especial wote watoto wa Tmk- Harambe Family in Holand

 Eddy Gunners akiwa na rafiki yake

 Adili ndani ya visiwa vya mwanza Happy New TemekePamoja

 HNY to all members of Temeke Pamoja

 kiduku kilikuwepo nndani ya Mbagala kiburugwa kuukaribisha mwaka 2012


 Mully

 SHEMSA & ROCK HAPPY NEW YEAR TMKPMJ

Happy New Year Temeke pamoja tuongezee habari zaidi za wilaya yetu- Strike Yasin in Holland

Nashukuru wote mliotuma ujumbe wenu na picha zenu katika kunitakia heri ya mwaka mpya natumai mwaka huu 2012 tutajitahidi kuongeza habari na matukio mengi yanayojitokeza katika jamii yetu na nawaomba radhi ambao waliotuma picha zao lakini sijazitupia kutokana na nafasi kubana ila natumai tupo pamoja wote na Mimi nawatakia wadau wangu wote heri ya mwaka mpya 2012 na Mungu atufungulie njia katika mwaka 2012 kila la kheri wadau wote 
Temekepamoja-Home Swt Home

No comments:

Post a Comment