Pages

Thursday, August 2, 2012

KIBASILA SEKONDARI ENZI HIZO

 Waliosimama kushoto wenye jezi: Said Sulle(Chiko) Mazoea, Salvatory Edward, na simon Butte
Waliochuchumaa: Hassan Banyai Ginks, Mawazo, Peter Nkwera wa Mwisho jina limenitoka hii ilikuwa shule ya sekondari kibasila enzi hizo
 kutoka kushoto: Salvatory Edward, Ramson, Chico na Butte hii ilikuwa kempu ya Umiseta
Hapa na mimi ninayeandika nilikuwepo ndio mdogo kupita wote pamoja na kaka zangu Ogola Miki, Chiko, Simon Butte, Mawazo pamoja Salvatory Edward hii ilikuwa katika mahafali ya shule ya sekondari ya Kibasila mwaka 1993

No comments:

Post a Comment