Pages

Friday, August 10, 2012

MBUNGE MTEMVU AGAWA MSAADA KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA

 Mbunge wa Temeke Mh. Abbas Mtemvu akitoa msaada wa vyakula katika baadhi ya vituo 10 vya kulelea watoto yatima Mkoa wa Dar es Salaam
Mh.Abbas Mtemvu akikabidhi zawadi kwa kituo cha watoto yatima cha hiari kupitia mfuko wa Mtemvu Foundation
Picha: IssaMichuzi

No comments:

Post a Comment