Pages

Friday, August 17, 2012

KAZI KWANZA RECORDs YAANZA MATENGENEZO

 Studio kubwa na ya kisasa inategemea kufunguliwa hivi karibuni maeneo ya Mtoni sabasaba/Zebra, studio hiyo ambayo kwa sasa ipo katika marekebisho na kuiweka katika kiwango cha hali juu. Mkuu wa Studio hiyo Masiga ambaye kipindi cha nyuma aliwahi kutamba katika kundi la B LOVE M akiwa na banana amesema anataka kuja kivingine na alisema watakuwa wanadeal na Video na Audio pamoja na matangazo mbalimbali
 Ukumbini na baadhi ya vyumba vikifanyiwa marekebisho
 Mapokezi No. 2 kukifanyiwa marekebisho
 Mapokezi No. 1 ambapo kila kitu unamaliza hapo
 Sticko Tmk Kazi kwanza ndio meneja wa studio hiyo
 Studio rooms marekebisho yanaendelea
kazi kwanza records eneo watakalotumia katika shughuli zao baada ya upanuzi

No comments:

Post a Comment