Pages

Monday, August 6, 2012

NASH AMALIZANA NA VVU

 NIITE NASH EMCEE,MC PEKEE MWENYE V.V.U!MPOKI SEMA........VINA VIKALI USIPIME!HHAHAHAHAAHHAHAAHAHHA! Hii ni moja ya picha ambayo itakuwepo katika video mpya ya Nash MC inayotambulika kwa jina la VVU
HAPO NI NASH MC  BAADA YA KUMALIZA UPIGAJI WA PICHA ZA VIDEO YA V.V.U NA MUARABU WA DUBAI AU BEPARI LA KIHAYA,WENGI MNAMFAHAMU KAMA MPOKI,HAHAHAHAHAAHAHA!JIANDAENI KUMUONA MPOKI AKIWA ANADONDOKA MISTARI YOTE YA V.V.U!KWENYE VIDEO HIYO!JAMAA ANAUNGA MKONO SANA HIP HOP KWA HALI NA MALI KULIKO WANAOJIITA WANAHARAKATI!AMANI KWAKO MUARABU WA DUBAI!
Picha : Nash Mc

No comments:

Post a Comment