Pages

Thursday, August 23, 2012

MPAKA DAKTARI ASEME

 tuna tabia ya huku kwetu hatuli matunda mpaka daktari akwambia kula sana matunda na maji mengi lakini sokoni kwa sasa matunda yamejaa mpaka yanaharibika hamna mnunuaji.
 Kama hapo chungwa moja Shs. 50 jumla Shs. 25 soko la Tandika na Stereo
Ushindwe wewe mwenyewe zagazaga kibao hizo

No comments:

Post a Comment