Pages

Saturday, July 28, 2012

YANGA BINGWA KAGAME

Mabingwa watetezi wa kombe la Kagame (Cecafe) Yanga wameweza kutetea vizuri ubingwa katika fainali ya kusisimua iliyochezwa  uwanja wa Taifa, Temeke Dar es salaam
Goli la kwanza la Yanga lilifungwa na Hamisi baada ya kuibia pasi iliyorudishwa nyuma na beki wa Azam, ubunifu wa Rashid Gumbo, Haruna Niyonzima, katikati ulifanya kuweza kuliteka duara, na kuumpa wakati mgumu Salum Abubakar Sure Boy kuwa katika wakati mgumu, Dakika za majeruhi Said Bahanuzi aliweza kuzima ndoto za Azam baada ya kufunga goli la pili baada ya mabeki wa azam kwenda kushambulia hadi mpambano unamalizika Yanga 2-Azam 0

No comments:

Post a Comment