Pages

Thursday, July 12, 2012

SIMBA MABINGWA KOMBE LA URAFIKI




Felix Sunzu anaipatia Simba bao la kuongoza hapa uwanja wa Taifa kwenye dakika za mwanzo kabisa za mchezo.

Dk ya 45 Azam wanasawazisha goli hapa na mpira unaenda mapumziko matokeo yakiwa sare. Mcha Viali ndio mfungaji wa goli.

Kipindi cha pili kinaanza hapa timu zinashambuliana kwa zamu. 

Azam wanapata bao la pili John Bocco anaweka mpira kimiani.

Simba wanapata penati na Mwinyi Kazimoto anaenda kupiga penati hiyo. 

Ni goli - Mwinyi Kazimoto aka Failasufu anafunga bao la pili kwa upande wa Simba. 

Mpira umeisha na timu zimeanza kwenda kwenye hatua ya penati.

Penati zinamalizika kupigwa na Simba wanatoka na ushindi wa penati 4-3

No comments:

Post a Comment