Pages

Tuesday, July 3, 2012

ZINA MWAKA HIZI TAA HAZIJAWAKA


Barabara ya Kilwa eneo la chuo cha uhasibu hizi taa za Trafiki light kueleka sabasaba hizi taa toka mwaka jana kipindi kama hiki cha mwezi wa saba zilikuwa zimefungwa mpaka leo hazijawahi kuwaka tatizo nini?
Mdau
TemekePamoja

1 comment: