Pages

Tuesday, July 17, 2012

CHEGE APATA AJALI USIKU WA JANA

 
Chege amepata ajali maeneo ya Temeke Jana 16 July mida ya saa nne usiku. Ajali imesababishwa na mwendesha pikipiki ambaye alikuwa amelewa sana na ameiba pikipiki alio kuwa anaendesha.Mwenye pikipiki alifika hospitalini na kusema alikuwa akijitayarisha kuwasha pikipiki yake huku akiva koti kwa ajili ya kujizuia na baridi ndipo alipo sukumwa pembeni na mlevi huyo na kuibiwa pikipiki yake . Kwa mwendo wa kasi sana pikipiki hio iliingia barabarani bila kujali magari wala usalama. Chanzo ujanatz blog

No comments:

Post a Comment