Pages

Sunday, July 1, 2012

NI UHISPANIA

Magoli yaliyofungwa na David Silva, Jord Alba, Fernando Torres na Juan Mata imewaandikia historia nyingine kikosi cha Hispania baada ya kuifunga Italia kwa idadi ya mabao 4-0 na kuwa mabingwa wapya wa ulaya kwa waka 2012

No comments:

Post a Comment