Pages

Sunday, October 2, 2011

MAZISHI YA RAMADHANI CHENJA

 Watu waliokusanyika katika mazishi ambayo yalifanyika nyumbani kwao Mtaa Mtakuja - Temeke

 Baadhi ya watu wa karibu wa Marehemu Ramadhani Chenja Kushoto Said Akida, Jerry Koto, na Daddy Brown
 Mwili wa Marehemu Ramadhani Chenja ukitolewa ndani ili kuswaliwa kwa sala ya mwisho

 Mwili wa Marehemu ukiswaliwa na sheikh Abdulkadir wa Al-hikma

 Mdau Sayana Mwarongo na Muddy Gaiza walipata kuhudhuria mazishi hayo

 Sheikh Abdulkadir akishauriana na baadhi ya ndugu wa marehemu

 Baadhi ya Jamaa wa marehemu
Mwili wa Marehemu Ramadhani Chenja ukiwa katika hatua ya mwisho wa kuhifadhiwa

No comments:

Post a Comment