Pages

Sunday, October 2, 2011

CHILO APATA MKE

 Sherehe ya Ndoa ya Omary Chillo ikiendelea Mitaa ya Chang`ombe Mtaa wa Maneno.

 Bwana Harusi Omary Chillo pamoja na jamaa zake wa karibu
 Hii ndio inakuwaga shughuli yenyewe kitu cha mpunga
 Waandaaji wa Maulidi, Kushoto Haji kambi, Hamza Kambi, Bwedo Chilo, Ngolla Chilo, Ally Mzuzuri, Hafidhi Mtumweni, Rama, Saidi Akida, na Salum Nyumba.
Kutoka Kushoto Haji Kambi, Salum Nyumba, Bibi Harusi, Omary Chilo Bwana harusi na Hafidhi Mtumweni

No comments:

Post a Comment