Pages

Wednesday, July 3, 2013

YAKUB ANAHITAJI MSAADA

 Ni kijana wa miaka 14 anaishi maeneo ya Tandika anasumbuliwa na mguu ambao kadri siku zinavyozidi kwenda mguu unazidi kujaa na maumivu makali anayapata na kwa sasa umepasuka na kuanza kutoa maji.
 Hali ya mguu ulivyo kwa sasa

kwa ambaye anayehitaji kumsaidia tuwasiliane kwa namba 0715 454543 tukupe maelezo yake