Pages

Saturday, March 5, 2011

TAMASHA LA SKAUTI

Waliofuzu katika Mazoezi ya Kung-fu
Viongozi wa Maskauti wakiwa na mgeni Rasmi

Skauti wakiskiliza hotuba

Mazoezi yakijaribiwa
Baadhi ya skauti waliohudhuria tamasha hilo ambalo lilifanyika katika viwanja vya Sabasaba Temeke na wahusika wakubwa walikuwa ni wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kufundishwa mbinu mbalimbali za skauti

No comments:

Post a Comment