Pages

Thursday, March 17, 2011

SHABIKI No. 1 MAN UTD

Saidy Akida akiwa nje ya Uwanja wa Manchester Utd kabla ya Mechi ya UEFA dhidi ya Marseile kutoka Temeke mpaka Manchester

Ndani ya Uwanja wa OT unavyoonekana. Ila huyu jamaa ni mbishi mno

Huyu singasinga sidhani kama kuna mechi kakosa

Red Devil na Saidy Akida katika Picha ya pamoja
Sir Alex akisaini

3 comments:

  1. huyu Akida ni mbishi mno dduh vizuri mtoto wa kiumeni kuendelea kutuwakilisha

    ReplyDelete
  2. Mwache awakilishe NDO ZETU! bado Kicheko ndani ya Stamford! Ebwana huyo singasinga mbishi, ankaaga mbele kabisa! Bravo Said Akida.

    Profesa mwalimu JK

    ReplyDelete
  3. Haya Ankal Akida hapo umepiga bao la kisigino au la Tik tak kama ......................
    mengi zaidi tukikutana uwanja wa nyumbani.

    ReplyDelete