Pages

Wednesday, August 31, 2011

SWALA EID MSIKITI WA AL-QADIRIYAH

 Waumini waliohudhuria katika sala Idd wakipeana heri ya Idd na baadhi ya viongozi wa msikiti baada ya sala ya Eid

 Mikono ya Eid Ikiendelea

 Lee Mnyusi akitoa salam za Eid

 Waumini waliohudhuria katika sala ya eid katika msikiti wa changani Temeke leo

Wadau wa Temeke Kushoto Abdu Bingwa, Abdul, Mohamed Mbwana, Chang`ombe boyz Coach,  na Suleiman(Dudek)

2 comments:

  1. Dah kaka umenitoa mchozi maana hapo nyuma yao hawa kule kwenye kiukuta ndio endeo langu na ndugu zangu wa dam mmoja akina bang`wa,nurdin mwanaadam na wengineo Inshallah mungu atuweke hai next time nitakuwepo amen.Eid mubarak
    kessy karama

    ReplyDelete
  2. Inshallah Bwana karama Mungu akijaalia

    ReplyDelete