Pages

Thursday, August 25, 2011

NJIA RAHISI YA KUFIKA HOME

Kuna watu wameomba niwaelekeze Temeke nilipo naomba ufuate maelekezo nyoosha na hii barabara moja kwa moja   

Mbele utakuta mama lishe wanapakuwa chakula waache sogea kidogo
utakuta toroli limebeba matenga ya nyanya msubiri apite na wewe upite
ukivuka tu utakuta choo kinazibuliwa sogea mbele
utakutana na choo hiki kata kushoto
Mbele utaona uchochoro  halafu kuna maji machafu yanakatisha ufatishe moja kwa moja

halafu ukiona wazungu wawili wanaingia kwenye mgahawa anza kuhesabu nyumba ya tano kutoka hapo natumai tutakuwa tumeelewana mpaka hapo
Ramadhani njema wadau.

5 comments:

  1. sasa tusipokutana na hao wazungu itakuwaje mkubwa

    ReplyDelete
  2. Du ebwana ehh kumbe bongo kubwa eehh du! kweli ikuru ni pakupaogopa kama ukoma.

    ReplyDelete
  3. haina ukubwa ila viongozi wetu wabinafsi tu

    ReplyDelete
  4. Mitaa gani hiyo Temekepamoja kama vp nipeleke mitaa ya mtoni nipajue kukoje

    ReplyDelete
  5. Dah huu mziki kaka kama unamgeni wako yupo nje ya nchi then unamuelekeze aje kwako umempoteza ni vyema ukamngoje airport kaka kwa usalama wa mgeni wako

    ReplyDelete