Pages

Tuesday, August 30, 2011

SHEREHE YA SIKU YA KUZALIWA YA MTOTO IMAN PINTO

Mtoto wa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), Juma Pinto, Imani Pinto, akikata keki wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka minne ya kuzaliwa kwake, mwishoni mwa wiki,nyumbani kwao Chang`ombe Temeke Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto akikata keki tayari kumlisha mwanawe Imani
picha na mjengwa

No comments:

Post a Comment